



The Zanzibar International Film Festival (Festival of the Dhow Countries) ZIFF will be held June 29th, to July 8th, 2007 in Zanzibar, Tanzania.
ZIFF ni tamasha inayofanyika kila mwaka huko Zanzibar. Wanaonyesha sinema na pia vikundi mbalimbali vya kisanii na muzuki kutoka nchi mbalimbali zinashiriki katika maonyesho kadhaa. Lasiki hasa ni maonyesho ya sinema zinatoka nchi za mwambao ya bahari ya hindi. Huu ni mwaka wake wa kumi. Mwaka huu wataizindua Dar katika hoteli ya Holiday Inn.
Kwa habari someni ZIFF Press Release. http://www.ziff.or.tz/press_english.htm