
Wadau, niliona hii picha kwenye
Dr. Faustine Baraza. Ilipigwa mwaka jana wakati wa ufunguzi wa maktaba pale Mlimani Primary School, iliyoko Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kushoto ni Mh. Asha Rose Migiro, Kati ni Mama Salma Kikwete. Cheki wanavyopendeza na nywele 'natural'!