Thursday, April 17, 2008

Ngono ni Sanaa - Dinahicious Blog (Wakubwa)


Kuna watu ambao watasema nina mawazao machafu, kwa nini nabandika habari ya ngono hapa. Tupende, tusipende ngono ni sehemu ya maisha yetu. Ndivyo bindamu walivyoumbwa. Mtu atasema oh, mimi simo, kumbe ndo mwenyewe kwa mambo!

Ninamsifu Dada Dinah kwa kuongea kwa uwazi kabisa mambo nyeti. Mambo anayoongelea yatasaidia na yanasaidia watu katika mapenzi, hata kumfudisha mke au mume jinsi ya kumfurahisha mwenzie wasitembee nje ya ndoa. Kuna ushauri mzuri kwa wanawake na wanaume, wazee na vijana kule.

Kuna habari ya jinsi ya kufanya matendo ya kumfurahisha mpenzi wako, habari ya kuzuia mimba, na habari nyingi tu, pia anajibu maswali ya wasomaji.

Hivyo ukitaka ushauri mzuri kabisa kuhusu ngono tembeleeni Dada Dinah, huko (BOFYA) DINAHICIOUS BLOG. Hongera Dada Dinah!

Someni sampuli ya mambo kule...

*************************************************************



Kufanya mapenzi/ngono na mpenzi wako ni sanaa, tuchukulie sanaa ya urembaji. Huitaji kwenda shule/darasani ili ujue jinsi ya kuremba au kujiremba bali unakwenda shule ili uwe na Cheti kinachotambulika ili uweze kukitumia kutafutia kazi napengine kuaminiwa na Muajiri au Mteja wako.Sidhani kuna mtu anataka cheti cha kufanya ngono ei?
Kuna yeyote anahitaji cheti hicho ili a-ambatanishe wakati mwanaume anamtokea? Hahahahhaha sidhani!Sanaa ya urembo huanzia kwako mwenyewe, unajaribu wanja unakaa vibaya unafuta unapaka tena mpaka unaona sasa umekaa sawia, hali kadhalika unapaka rangi hii ya mdomo inakuwa haiendani na umbile la midomo yake unapaka nyingine mpaka unagundua rangi/aina gani inafaa kupakwa midomoni mwako sio?

Hali kadhalika poda na “foundation”.Sasa hata Ngono inatakiwa ijaribiwe hivyo na wewe mwanamke mwenyewe. Kwanza unatakiwa kuujua mwili wako na umbile lako huko chini, eti wengine hujiogopa nakusema linatisha au limekaa vibaya (hii ilikuwa wakati ule tuko wadogo tusijichungulie wala kujigusa nahatimae kuondoa bikira) ukishaanza kuingiziwa dude huna haja ya kujiogopa.

Kuna baadhi ya wanawake hawajui kabisa Kuma zao zimekaa vipi na hata mpenzi wake haruhusiwi kuona, vilevile kuna baadhi ya wanaume ambao wanadhani kuwa mwanamke anatundu mbili kule chini moja ni ya mkojo na nyingine ni yakutumbukiza mboo na hujidanganya kwa kusema “ukibahatisha kutia tundu la kutolea mkojo ndio mwanamke anafika haraka”…..nafikiri huwa wanamaanisha kisimi mana’ke kitindu cha mkojo kiko chini kidogo ya kisimi.

Vilevile kuna baadhi ya watu ambao wanaamini sana msemo huu “bucha zote nyama ni ileile”…hey sio kweli nyama zinatofautiana kwa kiasi kikubwa na hata utamu hutofautiana na hii hutegemea zaidi na uwazi wa muhusika pia ufurahiaji wa mwanamke anapofanywa na mpenzi wake ambao sio wa uongo (Fake)…(nitalizungumzia hili siku nyingine).

Sikiliza dada/mama mpendwa nikwambie, uke ni kitu cha thamania mbacho mungu ametujaalia, uke unasura nzuri na ndio mana waume/wapenzi wetu hupenda kuangalia na wengine kucheza nayo, huenda ni kweli haikuvutii lakini kumbuka kuwa huitaji kuvutiwa kwani wewe ni mwanamke hivyo unatakiwa kuvutiwa na uume.
Sasa ili ujijue unatakiwa kucheza na mwili wako wakati mpenzi wako hayupo au pale unapokuwa na muda basi jitafutie faragha kisha tumia kioo jichunguze, cheza na maumbile yako, jiguse, jiangalie ukinyegeka basi jichue (usitumie sanamu bali mkono yako) na hakikisha unajua umegusa wapi ambapo pamekufanya ujisikie hivyo ulivyojisikia (kama vipi andika kabisa kwenye karatazi) fanya hivyo kila unapopata muda badala ya kusoma au sikiliza habari za kidaku.

Kumbuka sisi wanawake tunatofautiana sana ukiachilia mbali kitabia, maumbile namuonekano pia tunatofautiana jinsi ya kufurahia ngono/mapenzi hivyo usitegemee mpenzi wako akufanyie vile anavyoujua mwili wa Fulani na Fulani mwambie akufanye vile wewe unapenda.Nitaendelea mida-mida na maelezo haya naona kuna mtu ananisumbua hapa…….

Tena:Nisamehe kwa kiswahili changu kibovu!
 

FREE HOT VIDEO 1 | HOT GIRL GALERRY 1

FREE HOT VIDEO 2 | HOT GIRL GALERRY 2

FREE HOT VIDEO 3 | HOT GIRL GALERRY 3

FREE HOT VIDEO 4 | HOT GIRL GALERRY 4

FREE HOT VIDEO 5 | HOT GIRL GALERRY 5

FREE HOT VIDEO 6 | HOT GIRL GALERRY 6

FREE HOT VIDEO 7 | HOT GIRL GALERRY 7

FREE HOT VIDEO 8 | HOT GIRL GALERRY 8

FREE HOT VIDEO 9 | HOT GIRL GALERRY 9

FREE HOT VIDEO 10 | HOT GIRL GALERRY 10

FREE HOT VIDEO 11 | HOT GIRL GALERRY 11