Baadhi ya Crew wa Bongoland II wakiongea na Producer Mussa Kissoky wa Sofia Records.
Bwana Kibira akielekea kwenye usafiri wa kwenda mjini Dar.Mtengeneza sinema, Josiah Kibira, na timu yake wamekwisha tua Bongokwa ajili ya shughuli za kutengeneza sinema ya Bongoland II.
Asante Kaka Michuzi kwa kunipa updates na kuniruhusu kutimia picha.